FOREVER LIVING is there for you

FOREVER LIVING PRODUCTS INTERNATIONAL (FLP) ni kampuni kubwa ya Kimarekani, iliyoanzishwa mnamo mwaka 1978 yenye makao makuu mjini Scottsdale Arizona. Ni kampuni binafsi na mmiliki wa kampuni ni Bwana Rex Maughan. Kampuni inazalisha na kusambaza bidhaa za aloe vera na nyuki wadogo ambazo ni za afya na urembo. Bidhaa hizi ni za kipekee na zina ubora wa kuaminika kama vile muhuri wa baraza la sayansi la aloe vera duniani, Kosher, Islamic society pamoja na uthibitisho katika nchi zaidi ya 150.

Kampuni hii Imesambaa zaidi ya nchi 150 duniani kote. Pato lake kwa mwaka ni zaidi ya dola billion 2.5 kwa mwaka, asset zake ni zaidi ya dola 1.9 kwa mwaka na kampuni inajiendesha bila madeni. Uongozi wake ni thabiti, bidhaa bora pamoja na mpango thabiti ni moja yya mambo anayoifanya kampuni kuwa namba 6 kidunia kati ya makampuni zaidi ya 5,000 yanayofanya biashara katika mfumo wa biashara ya soko la mtandao. Kwa Afrika na Tanzania hii kampuni ni namba 1 katika makampuni ya network marketing.

Afrika mashariki ipo katika nchi zote na Tanzania iko katika mikoa 5 ya Dare salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya na Dodoma. Hapa Tanzania kwa mwaka 2011 katika Mkoa wa Temeke (Katika ulipaji wa kodi) kampuni ilipewa cheti na TRA kama kampuni ya 2 kwa ulipaji mkubwa wa Kodi. Unaweza kupata picha kwamba pato lake ni kubwa sana japo kiwanda hakipo Tanzania.

Sababu kwanini FLP ni pamoja na;- bidhaa bora, maisha bora, vipato vikubwa, kipato unachoweza kukirithisha pamoja na nyinginezo.

Kujiunga na FLP, unajaza fomu ambayo ni bure kabisa. Lakini unatakiwa kuwekeza katika bidhaa. Unashauriwa kununua (Kombo la biashara) businesses pack au Combo pack ambapo utapata bidhaa unazotaka, literature, bronchures, CD, DVD, nk.

VIPATO UNAVYOPATA TOKA FLP.

* Retail profit ambayo ni kuanzia asilimia 21.5 hadi asilimia 43. Hii ni faida unayoipata kwa kuuza bidhaa ambazo utazinunua na kuuza kwa mteja.
* Personal profit. Hii ni faida utakayoipata kwa kununua bidhaa kutoka katika kampuni. Utakaponunua, kampuni inakurudishia asilimia kuanzia 5 hadi 18 ya kila pesa utakayoitoa kununua bidhaa.
* Group volume bonus. Hii ni faida utakayopata unapojenga timu. Hivyo utapata kipato kwa ile timu itakapofanya mauzo, ambapo utatengeneza kuanzia asilimia 3 hadi asilimia 13 ya timu yako yote.
* Leadership bonus. Hiki ni kipato unachopata kwa kuwafundisha wengine biashara na wakafika level ya manager. Utakuwa na uwezo wa kupata asilimia 6 ya kizazi chako cha kwanza cha manager. Asilimia 3 kwa kizazi cha 2 na asilimia 2 kwa kizazi cha 3.
* Earned Incentive. Kampuni inakupa kipato ambacho unaweza kununua gari. Kampuni itafanya tathmini ya biashara yako ndani ya miezi 3. Hapo unaweza ukawa katika mpango wa kupata kipato kati ya level 3. Ukiwa level ya 1 utatengeneza dola 400 kwa miezi 36 mfululizo. Level ya 2 dola 600 kwa miezi 36 na level ya 3 ni dola 800 kwa miezi 36. Hichi ni kipato tofauti na kile unachotengeneza kili mwezi.
* Profit share (Gawio la faida). Hili ni gawio la faida ambalo linatolewa na kampuni kwa distributors wote. Kama unataka kubadilisha maisha yako, fikiria kupata hii profit share. Hapa kuna level 3 pia ambapo unapata gawio la faida kila mwaka. Unaweza kufanya biashara kwa mwaka mzima, ukapata vipato vya kawaid. Lakini ukipata gawio la faida, maisha yako yanabadilika. Kampuni ya FLP ni kampuni pekee inayotoa gawio kubwa la faida. Asilimia 40 inakwenda kwenye kampuni na asilimia 60 inatolewa kama gawio la faida.
* New distributor profit. Hiki ni kipato unachopata kwa kuwashirikisha watu wengine kwenye biashara. Unapata kuanzia asilimia 26.5 hadi asilimia 39.5
* Germ bonus ambapo utapata asilimia 1, 2 au 3.
* Rallies. Kuna safari za kimataifa ambazo zinaandaliwa na kampuni ambapo unalipiwa kila kitu. Unaweza kutengeneza dola 1500 kama pesa ya matumizi pamoja na kugharimiwa kila kitu utakapokwenda na kurudi. Mfano mwezi wa 4 mwaka huu kulikuwa na safari ya Hawaii, mwezi wa 8 tuna safari ya Dubai pamoja na zingine.

Hivi ni miongoni mwa vipato ambavyo unaweza kuvipata na FLP, kila kipato kinajitegemea na vote vinaingia wakati mmoja. Hakuna ukomo wa kipato chako, jitihada zako ndizo zitakazokuwezesha kupata vipato vikubwa zaidi. Lakini kumbuka huu sio mpango wa haraka wa kujipatia utajiri, japo wengi wanapata ndani ya muda mfupi. Ila huchukua muda na mafanikio yakija huwa ya kudumu.

Ni ngumu kuelewa huu mfumo wa biashara nilioeleza hapa kwani wengi tumezoea mfumo wa biashara za kawaida. Ila nakushauri jaribu kuangalia kuna post niliitoa kichwa cha habari niliandika; Biashaya ya soko la mtandao (network marketing). Isome inaweza kukupa mwanga ili upate picha ya mfumo wa biashara kampuni inaoutumia. Lakini unaweza kuni PM kwa maelezo zaidi.

Naamini kwamba, mtu huwezi kubadilisha maisha yako endapo hutobadili fikra zako.

Estas declaraciones no han sido evaluadas por la Administración para el Control de Alimentos y Medicamentos de los Estados Unidos (FDA).
Estos productos no intentan diagnosticar, mitigar, tratar, curar o prevenir ninguna enfermedad específica o clase de enfermedad.
Usted debe consultar a su médico si está experimentando problemas de salud.Origen de la nota